Matukio Yetu

Usihofu kukosa matukio yetu yote makuu kwa mwaka huu kwani tutakuwa tunakushirikisha.

Machi 03, 2024

Siku ya Wanawake (WWK)

Mei 05, 2024

Siku ya Wanaume (CMF)

Juni 02, 2024

Siku ya Watoto

Oktoba 06, 2024

Siku ya Vijana (CAs)

Disemba 15, 2024

Siku ya Mchungaji

Disemba 22, 2024

Siku ya wajane na yatima

Disemba 25, 2024

Ibada ya Krismasi

Disemba 31, 2024

Ibada ya kufunga mwaka

Januari 01, 2025

Ibada ya Mwaka Mpya