Yesu yupo kwa ajili yetu sote na sisi ni sehemu tu ya familia yake kubwa. Je ungependa kuwa mmoja wa familia yetu? basi usisite Kujiunga nasi
Tafadhali usikose ibada zetu za jumapili kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi saa 3.00 asubuhi kwa ibada ya kwanza na kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 6.30 mchana kwa ibada ya pili.
Ni kitendo tu cha kubonyeza ili kujiunga nasi kwa matangazo ya ibada ya moja kwa moja kama upo mbali na kanisa.
Jiunge nasi hewaniTungependa kushirikiana na wewe katika kujifunza biblia kila siku ya jumatano kuanzia saa 10.00 jioni hadi saa 12.00 jioni.
Mara zote tunahitaji maombi katika maisha yetu ya kila siku, ni faraja kwetu kuwa mmoja wa wasaidizi wa jambo lako kupitia maombi, jiunge nasi katika ibada ya maombi na maombezi kila siku ya ijumaa kuanzia saa 10.00 jioni mpaka saa 12.00 jioni
Tuma hitaji la kuombewaKama ulikosa masomo na mahubiri ya jumapili iliyopita na ibada ya jumatano, usisite kuangalia yaliyojiri katika ibada hizo.
Haya ni baadhi ya matukio yaliyo mbele yetu.