Maono yetu

Kuwaleta watu kwa Mungu

Misheni yetu

Misheni yetu ni kuathiri ulimwengu kwa upendo wa Yesu Kristo

Maadili yetu makubwa

  • Huruma
  • Kiu ya kuijua kweli ya neno la Mungu
  • Kanisa kuishi kama familia
  • Kukua kwa kanisa katika nyanja zote
  • Hofu na kumtii Mungu